Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameongoza kikao kilichojadili masuala ya maendeleo ya miradi ya kimkakati ya kuendeleza nishati nchini, kati ya Uongozi wa Wizara hiyo na Uongozi wa Wizara ya Nishati ulioongozwa na Waziri wake, Mhe. January Makamba (Mb), katika Ofisi za Hazina (Treasury Square), Jijini Dodoma.
Facebook Comments