UJENZI WA BARABARA YA MJI WA KIOMBOI INAYOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI YENYE UREFU WA KM 2.3 IKIWA KWENYE HATUA ZA MWISHO KUKAMILIKA
Barabara hiyo yenye urefu wa Km 2.3 inajengwa kwa gharama ya Shilingi Bilioni 1,499,705,800.00.
Barabara hiyo Ina mifereji ya huduma (Service ducts ) 11,Makaravati 6 pia itakuwa na taa za Barabarani.
Facebook Comments