Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiwa katika kikao na Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Taasisi zake, ikiongozwa na Waziri wake, Mhe. Angellah Kairuki (Mb), Katika Ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, Hazina (Treasury Square), Jijini Dodoma, ambapo Mhe. Dkt. Nchemba ameelezea umuhimu wa Wizara hiyo katika kukuza na kuchochea ukuaji wa pato la Taifa na kushauri masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya uhifadhi na maliasili pamoja na mpango wa Serikali wa kuiwezesha Wizara hiyo.
Facebook Comments