Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akishiriki mkutano wa Magavana wa nchi za Afrika wanachama wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Mkurugenzi Mtendaji wa IMF Bi. Kristalina Georgieva, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) inayoendelea Jijini Washington D.C, nchini Marekani.

 

Share Story

Facebook Comments