Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana nakuzungumza na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) kutoka Bunge la Zambia wakiongozwa na Mhe. Darious Mulunda ambao wako katika ziara nchini, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.
Facebook Comments