Picha zikionesha matukio tofauti ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko, Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) na Mawaziri wengine kabla ya wabunge kuidhinisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2024, bungeni jijini Dodoma.

 

Share Story

Facebook Comments