Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) aliyeambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Kilimo katika Ofisi za Wizara ya Fedha, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali yanayolenga kuboresha na kukuza Sekta ya Kilimo nchini.

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo pamoja na Viongozi wengine waandamizi wa Wizara ya Fedha.

Share Story

Facebook Comments