26
Feb

DKT NCHEMBA, MAVUNDE WAJADILI KUHUSU SEKTA YA MADINI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameongoza kikao cha majadiliano na Ujumbe kutoka Wizara ya Madini...

Read More
23
Feb

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA KUTOA SH. BIL. 398.7 KUJENGA SGR NCHI ZA TANZANIA -BURUNDI – DRC CONGO NA KUKUZA MTAJI WA BENKI YA KILIMO TANZANIA

Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya zaidi dola za Marekani milioni 158.1...

Read More
23
Feb

SGR ya kuunganisha Tanzania,Burundi na DRC yaiva, wakulima nao wamo.

Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya takribani dola za Marekani...

Read More
21
Feb

SGR na MGR Mambo safi, Benki ya Dunia itatoa fedha kufanikisha miradi hiyo.

Benki ya Dunia imeahidi kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa mradi unaoendelea wa Reli ya Kisasa-SGR na ukarabati wa...

Read More
20
Feb

TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KIUCHUMI NA KIJAMII LICHA YA CHANGAMOTO ZA KIDUNIA.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) amesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii...

Read More
20
Feb

TANZANIA YASAINI MKATABA WA BILIONI 988.093 KUENDELEZA MIUNDOMBINU JIJINI DAR ES SALAAM

Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia zimesaini mkataba wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni...

Read More
17
Feb

DKT NCHEMBA ASHIRIKI MAZIKO YA HAYATI EDWARD NGOYAI LOWASSA

Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiwa na Viongozi wengine, ameshiriki katika maziko ya aliyekuwa Waziri...

Read More
15
Feb

DKT NCHEMBA AONGOZA KIKAO CHA KUBORESHA MIUNDOMBINU

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) akiongoza kikao kilichowashirikisha Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa na...

Read More
14
Feb

SERIKALI IMEENDELEA KUWEKA SERA BORA KWAJILI YA BENKI ZA KIBIASHARA NA KIJAMII.

Serikali imeeleza kuwa Benki Kuu ya Tanzania (@BankOfTanzania ) imeendelea kuweka mazingira bora ya kisera na kimfumo ili kuziwezesha benki...

Read More
13
Feb

TANZANIA IMETEKELEZA IPASAVYO VIGEZO VYA IMF.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amefunga vikao vya majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam...

Read More