Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akisalimiana na Naibu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC), Bi. Chidi Blyeden, walipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Shirika hilo kuhusu namna Tanzania itakavyotekeleza na kunufaika na mpango wa ruzuku zinazolenga kusaidia mageuzi ya kisera na kitaasisi ili kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi (Threshold Programs), mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Hazina Ndogo, Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza na Mwakilishi wa Tanzania wa Mradi wa MCC Dkt. Hamisi Mwinyimvua
13
Feb

DKT NCHEMBA ATETA NA UJUMBE KUTOKA SHIRIKALA MAREKANI LA CHANGAMOTO ZA MILENIA-MCC

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameishukuru Marekani kupitia Shirika lake la Changamoto za Milenia (Millennium...

Read More
10
Feb

DKT NCHEMBA AMUAGA RAIS WA POLAND ANDRZEJ DUDA

Rais wa Jamhuri ya Poland Mheshimiwa Andrzej Duda ameondoka nchini usiku huu na kuagwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt....

Read More
08
Feb

PPRA NA NEEC KUONGEZA WALIPA KODI WAKUBWA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa moja ya jambo ambalo nchi inalihitaji kwa sasa ni...

Read More
08
Feb

TANZANIA KUTEKELEZA MPANGO WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu(Mb), amefungua vikao vya majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam...

Read More
05
Feb

DKT NCHEMBA ATETA NA AFDB KUHUSU NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo...

Read More
02
Feb

SWEDEN KUFADHILI UJENZI WA SGR LOT THREE MAKUTUPORA – TABORA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania,...

Read More
01
Feb

NORWAY IMEONESHA NIA YA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA

Norway imeonesha nia ya kushirikiana na Tanzania katika kukijengea uwezo Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ili...

Read More
01
Feb

MIKOPO YA KAUSHA DAMU INAYOSUMBUA WANANCHI NA KUKIUKA SHERIA IMEFUTIWA LESENI

“Alipoingia Dkt. Samia alielekeza kuondoa usumbufu huu ambao Wananchi wanaupata na akamuelekeza Gavana wa Benki kuu na Idara inayosimamia Microfinance...

Read More
31
Jan

TUNZENI KUMBUKUMBU NA NYARAKA MUHIMU KWAJILI YA FIDIA

Serikali imewataka wananchi kutunza kumbukumbu na nyaraka muhimu za rejea ili kuondoa usumbufu na kurahisisha zoezi la ulipaji fidia hususan...

Read More
30
Jan

TUMIENI TAASISI RASMI ZA FEDHA KUFANYA MIAMALA YA KIBIASHARA

Serikali imewataka Wananchi na wafanyabiashara katika mipaka ya Tanzania na nchi jirani kutumia taasisi rasmi za fedha zikiwemo benki za...

Read More